Spika 
wa Bunge Mhe Job Ndugai akimkabidhi zawadi Kiongozi wa Msafara wa 
Wabunge kutoka Bunge la Ujerumani Mhe. Jens Koeppen. Anayeshuhudia kulia
 ni Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson.Wabunge hao walimtembelea 
Spika ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam
Spika 
wa Bunge Mhe Job Ndugai akipokea zawadi Kutoka kwa Kiongozi wa Msafara 
wa Wabunge kutoka Bunge la Ujerumani Mhe. Jens Koeppen. Wabunge hao 
walimtembelea Spika ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam
Spika 
wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza Kiongozi wa Kiongozi wa Msafara wa 
Wabunge kutoka Bunge la Ujerumani Mhe. Jens Koeppen (wa pili kushoto) 
waliomtembelea Spika ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam. Wa kwanza 
kulia ni Naibu Spika Dkt Tulia Ackson na wa Kwanza kushoto ni Balozi wa 
Ujerumani nchini Bw. Egon Kochake.
Spika 
wa Bunge Mhe Job Ndugai akiagana na Kiongozi wa Msafara wa Wabunge 
kutoka Bunge la Ujerumani Mhe. Jens Koeppen waliomtembelea Spika ofisini
 kwake leo Jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia wa kwanza kulia ni Naibu 
Spika Dkt Tulia Ackson na wa Kwanza kushoto ni Balozi wa Ujerumani 
nchini Bw. Egon Kochake.
Spika 
wa Bunge (wa pili kutoka kulia kwa walio kaa) akiwa katika picha ya 
Pamoja na Wabunge la Ujerumani waliomtembelea leo Ofisini kwake Jijini 
Dar es Salaam. Wengine katika picha kutoka kulia ni Naibu Spika Dkt 
Tulia Ackson, Kiongozi wa Msafara wa Wabunge kutoka Bunge la Ujerumani 
Mhe. Jens Koeppen na Balozi wa Ujerumani nchini Bw. Egon Kochake.(Picha 
na Ofisi ya Bunge)






No comments:
Post a Comment