
Naibu 
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura 
akimkabidhi Cheti cha ushiriki Bw.Erasto Mike wakati wa ufunguzi wa 
maonyesho ya saba ya bidhaa za harusi leo  jijini Dar es Salaam.

Mhe. 
Anastazia Wambura Naibu waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo 
akiangalia bidhaa kutoka kwa mjasiriamali Bi Helen-Lukundo Chonjo( 
Kulia) wakati alipokuwa akifungua maonyesho ya saba ya bidhaa za 
Harusi.Katikati ni mbunifu wa mavazi Bw. Mustafa Asanali.

Naibu 
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura 
akipokea maelekezo kuhusu jarida la Bidhaa za Harusi kutoka kwa mbunifu 
Mustafa Asanali kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Sanaa Bi Leah Kihimbi.

Naibu 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Anastazia Wambura 
akisikiliza ufafanuzi  kuhusu bidhaa za harusi zinazotengenezwa hapa 
nchini kutoka kwa Bi Dianna Kaijage wakati alipofungua maonyesho  ya 
saba ya bidhaa hizo leo  jijini Dar es Salaam.

Bi 
Sakina Kubino akimuonyesha Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na 
Michezo Mhe.Anastazia Wambura baadhi ya urembo unaovaliwa katika Sherehe
 za harusi   wakati alipofungua  maonyesho ya bidhaa hizo leo jijini Dar
 es Salaam.
Mbunifu
 wa mavazi Bw. Mustafa Asanali akimkaribisha Naibu Waziri wa 
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo katika maonyesho ya saba ya bidhaa za 
harusi yanayofanika katika ukumbi wa St Peters jijini Dar es Salaam

No comments:
Post a Comment