Waziri
 wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mungano na Mazingira Mh. January 
Makamba (Kushoto) akiangalia kitabu kinachohusu masuala ya utunzaji na 
usimamizi wa mazingira cha (The quest for a greener cleaner, better and 
peaceful world) Ofisini kwake mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo, 
(kulia) ni mwandishi wa kitabu hicho Dkt. Mohammed Shaban kutoka 
hosptali ya Hindu-Mandal ambaye pia ni mwanaharakati wa 
Mazingira..(Picha na Evelyn Mkokoi Ofisi ya Makamu wa Rais).
No comments:
Post a Comment