Mwenyekiti
 wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa katika mazungumzo ya pamoja 
na viongozi wengine na Rais wa Vietnam Truong Tan Sang na ujumbe wake, 
katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es 
Salaam, leo. Rais huyo yupo katika ziara ya kikazi nchini. Wapili kulia 
ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Zakia Meghji na Waziri 
Mahiga.

























No comments:
Post a Comment