#4. Tembo anao uwezo wa kumsikia Tembo mwenzake akilia kutoka umbali wa kilometa tano….Tembo
hana uwezo mkubwa wa kutambua vitu kwa kuona. hutegemea zaidi pua na
masikio kuweza kufanikisha shughuli zake. kutokana na hali hiyo, mara
nyingi ukiwa porini unashauriwa kumpiga picha tembo BILA ya kutumia
flash. hii inatoka na kwamba, endapo utatumia flash wakati unampiga
picha, tembo atajenga hisia ya kutoelewa nini kimetokea. kwa kifupi
hataweza kutofautisha kama ni kitu cha kawaida au ni hatari. katika
mazingira haya, huanza ku-charge kuelekea upande ule ambao mwangaTAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Sunday, June 12, 2016
JE WAJUA UNAJUA NINI KUHUSU MNYAMA TEMBO?
#4. Tembo anao uwezo wa kumsikia Tembo mwenzake akilia kutoka umbali wa kilometa tano….Tembo
hana uwezo mkubwa wa kutambua vitu kwa kuona. hutegemea zaidi pua na
masikio kuweza kufanikisha shughuli zake. kutokana na hali hiyo, mara
nyingi ukiwa porini unashauriwa kumpiga picha tembo BILA ya kutumia
flash. hii inatoka na kwamba, endapo utatumia flash wakati unampiga
picha, tembo atajenga hisia ya kutoelewa nini kimetokea. kwa kifupi
hataweza kutofautisha kama ni kitu cha kawaida au ni hatari. katika
mazingira haya, huanza ku-charge kuelekea upande ule ambao mwanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment