TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Sunday, June 12, 2016

NI MANJI,SANGA TENA YANGA AFRICANS.

Mwenyekiti wa Yanga alipokuwa akisoma hotuba yake mbele ya mamia ya wanachama (hawapo pichani) kupitia simu yake ya kiganjani,hapo jana ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee jijini DarMchakato mzima wa uchaguzi katika club ya Yanga Africans umemalizika salama na matokeo yapo kama ifuatavyo.Mwenyekiti Yusuph Manji ametangazwa mshindi baada  kupata kura 1,468 kati ya 1,470 zilizopigwa huku kura mbili tu zikiharibika na hakukuwa na kura ya hapana,m manji hakuwa na mpizani kwenye nafasi hiyo.Makamu mwenyekiti Clement Sanga ambaye alikuwa akipigania nafasi hiyo na Titus Osoro, ameibuka mshindi  baada ya kujizolea kura 1,428 kati ya 1,508 zilizopigwa. Mpinzani wake aliambulia kura 80 tu.Nafasi za ujumbe Wagombea waliku jumla 20 walioibuka na ushindi katika uchaguzi ni1. Siza Augustino Lymo (1027)2. Omary Said Amir (1069)3. Tobias Lingalangala (889)4. Salim Mkemi (894)5. Ayoub Nyenzi (889)6. Samuel Lucumay (818)7. Hashim Abdallah (727)8. Hussein Nyika (770)Idadi ya wajumbe 12 wameshindwa kuibuka na ushindi baada ya Kura kuwa pungufu ambao ni 1. David Luhago (582)2. Godfrey Mheluka (430)3. Ramadhani Kampira (182)4. Edgar Chibura (72)5. Mchafu Chakoma (69)6. George Manyama (249)7. Bakari Malima (577)8. Lameck Nyambaya (655)9. Beda Tindwa (452)10. Athumani Kihamia (558)11. Pascal Lizer (178)12. Silvester Haule (197

No comments:

Post a Comment