TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Sunday, January 29, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE NDANI YA MKUTANO WA AFRICA -ADIS ABABA

 RAIS Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Poul Kagame wa Rwanda Kabla ya Kuanza Rasmi kwa Mkutano wa 18 wa Umoja wa Africa jijini Adis Ababa Ethiopia leo january 29/1/2012.(Picha na IKULU)
 RAIS Jakaya Mrisho Kikwete akiongea o ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh, Bernald Member, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar (Fedha na Uchumi) Dr. Mwiny Hahji Makame Mwadini katika  Mkutano wa 18 wa Umoja wa Africa jijini Adis Ababa Ethiopia leo january 29/1/2012.(Picha na IKULU)
 Viongozi wa Afrika Wakisimama wakati wimbo wa Umoja wa Africa Unapigwa
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Wenzie
katika  Mkutano wa 18 wa Umoja wa Africa jijini Adis Ababa Ethiopia leo january 29/1/2012.(Picha na IKULU)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika  Mkutano wa 18 wa Umoja wa Africa jijini Adis Ababa Ethiopia leo january 29/1/2012.(Picha na IKULU)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipanda Mti kama kumbukumbu katika  Mkutano wa 18 wa Umoja wa Africa jijini Adis Ababa Ethiopia leo january 29/1/2012.(Picha na IKULU)

No comments:

Post a Comment