TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Sunday, May 27, 2012

KUFUATIA MACHAFUKO ZANZIBAR LEO

Askari wakiwa katika hali kutuliza vurugu, na hapa mkazi mmoja ambaye jina lake halikutambulika, akipewa kibano baada ya kuhusika na Ghasia hizo.
Askari wakiranda kutuliza Ghasia, ambazo watu wameandamana kupinga Muungano
Gari likiwa limeteketea kwa moto kufuatia ghasia hizo
Mmoja wa Waislam akionyesha kitu ambacho kinasadikiwa kuwa Damu wakati vurugu zikiendelea muda huu
Wakazi wa Zanzibar, wakiwa katika maandamano

1 comment:

  1. WAZANZIBA WAFANYE MAANDAMANO KWA AMANI, WASIWAFUKUZE NDUGU ZETU WALIOKO UKO ZANZIBAR WASICHOME MAKANISA NAJUA SABABU KUU NI IPI ILA ATA KAZI IKITANGAZWA ZANZIBA MTU WA BARA HATUWEZ KUOMBA TUTAFUKUZWA LAKINI MBONA WAO WAPO WENGI UKU BARA, TUWE WAMOJA WATZ VISWANI NA BARA. CC TUTAENDELEA KUWAKALIBISHA NA WAO WAACHE UBAYA. KISA KIKUU NI MAADILI. KRISANT AMANI MWAIPUNGU

    ReplyDelete