Rais wa Judo Tanzania Bw, Khalifa
Kiumbemoto katikati akifuatila kwa makini Mashindano ya Mchezo huo
yaliyofanyika katika Ukumbi wa Landmark jijini Dar es Salaam wa kwanza
kushoto kwake ni Mkurugenzi msaidizi wa Wizara ya Habari na Michezo Bw.
Charles Mattoke na wapili kushoto kwake ni Mdhamini wa Mashindano hayo
kutoka Germin Copperation LTD Bw. Yulliy Tarverdyan. Katika Mashindano
hayo Watanzania walionekana kushindwa na wachezaji kutoka Zanzibar.
Mchezaji wa Judo kutoka CCP
Polisi Moshi (wa juu) Bw. Kisamerwa Magangwa akiwa amemgeuza mshindani
wake Bw,.Mohammed Juma kutoka Magereza Ukonga jijini Dar es Salaam
katika mchezo huo.
Baadhi ya mashabiki walioudhuria katika
mpambano wa mchezo huo wakifuatilia kwa makini.
mpambano wa mchezo huo wakifuatilia kwa makini.
Wataalamu wa kufuatilia muda katika mashindano ya mchezo huo wakifuatilia kwa umakini mchezo huo.
No comments:
Post a Comment