Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha
 Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mohsen Movahhed Ghomi, wakati 
alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Mei 28, 2012 kwa 
mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza
 na Balozi wa Iran Nchini Tanzania,  Mohsen Movahhed Ghomi, wakati 
alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Mei 28, 2012 kwa 
mazungumzo.


No comments:
Post a Comment