Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG)
 liliopo mtaa wa Kariakoo mjini Unguja limechomwa moto jana usiku wa 
kuamkia leo na watu wasiojulikana.
(Picha/Zanzibar Yetu)
Gari la Kiongozi wa Kanisa la Tanzania 
Assemblies of God (TAG) Bishop Dickoson Maganga lililochomwa moto na 
watu wasiojulikana usiku wa jana katika eneo la Kariakoo nje ya kanisa 
hilo ambapo uharibifu wote unaelezwa kuwa umegharimu shilingi millioni 
120. 


No comments:
Post a Comment