Mshindi 
wa taji la Redds Miss Tabora 2012 Sarah Paul katikakati akiwa na 
washindi wengine wawili Glory Mongi kulia na Alice Amour kushoto mara 
baada ya kufanikiwa kutawaza washindi wa taji hilo na kufanikiwa kuingia
 katika kinyanganyiro cha kanda kuelekea kwenye fainali ya Redds Miss 
Tanzania 2012  
 
 
No comments:
Post a Comment