TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, January 14, 2015

KIKAO CHA KAWAIDA CHA KAMATI KUU YA CCM CHAFANYIKA KISIWANDUI ZANZIBAR

1Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mh. Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipowasili katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kuhudhuria kikao cha akawaida cha Kamati kuu kinachofanyika leo mjini Zanzibar na kuhudhuria na wajumbe mbalimbali.  2Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mh. Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Naibu  Katibu mkuu Zanzibar Mh. Vuai Ali Vuai baada ya kuwasili kwenye ofisi kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kikao cha Kamati Kuu katikati ni  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana 3Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mh. Dr. Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM Mjini Zanzibar Kushoto ni Dr. Ali Mohamed Shein Makamu Mwenyekiti Zanzibar  na kukia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana 4 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana tangaza wajumbe waliohudhuria katika kikao hicho na kueleza kwa wale walioto udhuru wa sababu ya kutokuwepo katika kikoa hicho. 8Wajumbe wa Kamti Kuu kulia ni Dr. Emmanuel Nchimbi na kushoto ni William Lukuvi wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa kikao hicho. 7Baadhi ya wajumbe wakisubiri kufunguliwa kwa kikao hicho. 6Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM kutoka kulia ni Mh. Pandu Kificho, Anne makinda, Mwigulu Nchemba Naibu Katibu Mkuu bara na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar  Vuai Ali Vuai wakiwa katika kikao hicho. 5Katibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauy

No comments:

Post a Comment