TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, January 16, 2015

MKUTANO WA MAENDELEO YA TAKWIMU AFRIKA WAENDELEA NCHINI UGANDA

unnamed (4)
Wahadhiri  Dkt. Tumaini Katunzi (Kushoto) na Dkt. Frank Mkumbo   kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar es Salaam wakisikiliza kwa makini mada kuhusu Ufundishwaji wa Takwimu Rasmi iliyowasilishwa na  Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Takwimu Rasmi anayesoma katika chuo hicho Bi. Oloumi Olatunde kutoka Nigeria, wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika unaomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Resort Kampala Uganda. (PICHA NA VERONICA KAZIMOTO – KAMPALA)
unnamed
Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Takwimu Rasmi kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar es Salaam Bi. Oloumi Olatunde kutoka Nigeria akiwasilisha mada kuhusu Ufundishwaji wa Takwimu Rasmi katika chuo hicho wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika unaomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Resort Kampala Uganda.
unnamed (1)
Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Takwimu Rasmi kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar es Salaam Bi. Oloumi Olatunde kutoka Nigeria akiendelea kuwasilisha mada kuhusu Ufundishwaji wa Takwimu Rasmi katika chuo hicho wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika unaomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Resort Kampala Uganda.
unnamed (2)
Washiriki kutoka Tanzania wakisikiliza kwa makini mada kuhusu Ufundishwaji wa Takwimu Rasmi katika Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar es Salaam iliyowasilishwa na  Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Takwimu Rasmi anayesoma katika chuo hicho Bi. Oloumi Olatunde kutoka Nigeria, wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika unaomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Resort Kampala Uganda.
unnamed (3)
. Mshauri wa Sensa ya Watu na Makazi kutoka UNFPA Tanzania Dkt. Collins Opiyo (aliyeinama) akiteta jambo na Meneja wa Sensa ya Watu na Makazi Irenius Ruyobya (katikati) na Meneja Rasilimali watu Gabriel Madembwe wote kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika unaomalizika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Resort Kampala Uganda.

No comments:

Post a Comment