TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Sunday, January 11, 2015

PINDA AWEKA JIWE LA MSINGI LA SHULE YA SEKONDARI YA KIBUTENI ZANZIBAR

unnamed1b  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipoweka jiwe la Masingi la  Shule  ya Sekondari ya Kibuteni  ya   Zanzibar ikiwa  ni moja ya ya shughuli za  Sherehe za Mapinduzi  ya Zanzibar Januari 10, 2015. Kulia kwake ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) unnamed2b  Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda   akimsikiliza  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali  wa Zanzibar,Ali Juma Shamhuna (wapili kulia) baada ya kuweka  jiwe la Masingi la  Shule  ya Sekondari ya Kibuteni  ya   Zanzibar ikiwa  ni moja ya ya shughuli za  Sherehe za Mapinduzi  ya Zanzibar Januari 10, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) unnamed3b Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Mhandishi Anolf Kileo  (kulia) wa Kampuni ya United Builders kuhusu michoro ya majengo ya madarasa, mabweni, ukumbi na nyumba za walimu za Shule ya Sekondari ya  Kibuteni ya Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa shule hiyo ikiwa ni moja ya shughuli za sherehe za  Mapinduzi ya Zanzibar  Januari 10, 2014 , Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment