
Balozi
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Oman Ali Ahmed Saleh akieleza
umuhimu wa mkutano wa kimataifa wa wafanyabiashara kutoka Tanzania na
nchi za Ghuba (GCC) utakafanyika kwa siku mbili kuanzia Januari 15 hadi
16, 2015 jijini Dar Es Salaam.






No comments:
Post a Comment