TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, January 14, 2015

RIDHIWANI KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA MGOMBEA UNEC, NJOMBE

 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM-NEC), Ridhiwani Kikwete akitoa salamu za CCM, wakati wa mazishi ya, aliyekuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa, marehemu Christian Fwalo ambaye alikuwa akiwakilisha mkoa wa Iringa mwaka 2007-2012,  katika makaburi ya Kijiji cha Ihalula, mkoani Njombe juzi. Fwalo pia alikuwa mgombea wa NEC, ili kuziba pengo la marehemu Lupyana Fute aliyefariki mwaka jana. (NA MPIGAPICHA MAALUMU)

No comments:

Post a Comment