TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, January 15, 2015

KINANA AANZA ZIARA MKOA WA MAGHARIBI ZANZIBAR

1Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mh. Shamsi Vuai Nahodha mlezi wa Mkoa wa Magharibi na Mbunge wa jimbo jimbo la Mwanakwerekwe wakati alipowasili katika wilaya Amani akiendelea na ziara yake katika visiwa vya Unguja na Pemba Zanzibar ,Kinana yuko katika ziara ya siku 15 katika visiwa hivyo  akikagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza uhai wa chama, NEC CCM Itikadi na Uenezi. 3Mh. Shamsi Vuai Nahodha mlezi wa Mkoa wa Magharibi na Mbunge wa  jimbo la Mwanakwerekwe akiongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi mara baada ya msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kuwasili mkoa wa Magharibi. 4Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana wana CCM na wananchi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika mkoa wa Magharibi. 5Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia kikundi cha ngoma 6Kikundi cha Ngoma kikiendelea na Burudani. 7Baadhi ya wanafunzi wa chuo cha Mwenge Comunity Centre kilichopo wilaya ya Amani 8Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wanafunzi wa chuo cha MCC. 9 10Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na mbunge wa jimbo la Mpendae Salum Turki. 11 12Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe kuzindua ofisi ya CCM Mpendae Bondeni.

No comments:

Post a Comment