Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na
wanachama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Chakechake Pemba wakati alipofika
katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro leo kuwapongeza kwa ushindi
alioupata katika uchaguzi wa Marudio uliofanyika mwezi Machi mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 29/05/2016.TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Sunday, May 29, 2016
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFANYA ZIARA YA KICHAMA PEMBA
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na
wanachama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Chakechake Pemba wakati alipofika
katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro leo kuwapongeza kwa ushindi
alioupata katika uchaguzi wa Marudio uliofanyika mwezi Machi mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 29/05/2016.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) alipokuwa
akizungumza na wanachama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Chakechake Pemba
wakati alipofika katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro leo kuwapongeza
kwa ushindi alioupata katika uchaguzi wa Marudio uliofanyika mwezi
Machi mwaka huu
Kiembe
Ramadhan Khamis kutoka Tawi la Mkoroshoni akitoa mchango wake wakati
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati
alipofika katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro leo kuwapongeza
wanachama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Chakechake Pemba kwa ushindi
alioupata katika uchaguzi wa Marudio uliofanyika mwezi Machi mwaka huu
Balozi
Mohamed Kombo Juma (Wawi) akitoa mchango wake wakati Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipofika katika
ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro leo kuwapongeza wanachama cha Mapinduzi
CCM Wilaya ya Chakechake Pemba kwa ushindi alioupata katika uchaguzi wa
Marudio uliofanyika mwezi Machi mwaka huu
Mwenyekiti
wa Wilaya ya Chakechake Pemba akitoa taarifa wakati Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati alipofika katika ukumbi
wa Skuli ya Fidel Castro leo kuwapongeza WanaCCM kwa ushindi alioupata
katika uchaguzi wa Marudio uliofanyika mwezi Machi mwaka huu,(kushoto)
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Naibu Katibu Mkuu wa
CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (kulia),
Wanachama
cha Mapinduzi CCM wialayanya Chakechake akinyanyua mkono juu kuunga
mkono maelezo ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein wakati
alipofika katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro leo kuwapongeza kwa
ushindi alioupata katika uchaguzi wa Marudio uliofanyika mwezi Machi
mwaka huu,[Picha na Ikulu.]29/05/2016
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na viongozi
alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Fidel Castro Wilaya ya
Chakechake Mkoa wa Kusnini Pemba leo alipofika kuwashukuru wanachama cha
Mapinduzi CCM kwa ushindi waliompatia katika uchaguzi wa Marudio
uliofanyika mwezi Machi mwaka huu,
Wanachama
cha Mapinduzi CCM Wilaya ya chakechake Pemba wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa
CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza nao
leo, wakati alipofika katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro leo
kuwapongeza kwa ushindi alioupata katika uchaguzi wa Marudio
uliofanyika mwezi Machi mwaka huu,
No comments:
Post a Comment