TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, June 2, 2016

UFUNGUZI WA TIMU YA VINGUNGUTI KOMBAINI_YA JIJINI DAR ES SALAAM.

 Timu ya Wachezaji ambao ni Makipa wa timu za ligi kuu Tanzania, Makipa hawa walianzisha yao na wamekuwa wakicheza michezo mbali mbali na Timu tofauti, wengine mpaka sasa wapo kwenye ligi na wengine Wamestaafu, katika mchezo walikuwa wakicheza dhidi ya Timu ya Vingunguti  Kombaini ambapo matokeo ya mchezo ni Vingunguti 2-0 Makipa, wafungaji wa magoli kwa upande wa vingunguti Kombaini ni Hassani   Hassani aliyefunga mabao yote Mawili. mchezo huo ulifanyika kwenye Uwanja wa Msikate Tamaa Vingunguti.
 Kikosi cha Timu ya Makipa.
 Benchi la Timu ya Ufundi kwa Timu ya Makipa
 Mchezaji wa Timu ya Makipa, Juma Kaseja, akikabidhiwa zawadi ya jezi na Mpira mmoja kutoka kwa Mheshimiwa Diwani Omary Kumbilamoto, ambaye pia ni Naibu Meya wa Manspaa ya Ilala. 
 Mchezaji wa Timu ya Makipa, Juma Kaseja, akiangalia zawadi ya jezi aliyokabidhiwa na  Mheshimiwa Diwani Omary Kumbilamoto, ambaye pia ni Naibu Meya wa Manspaa ya Ilala Mwenye jezi nyekundu. 
Mchezaji wa Timu ya Makipa, Juma Kaseja, akijiandaa kuingia kuwakabili Vingunguti Kombain.(Picha Zote na Rajabu Ally).

No comments:

Post a Comment