Mke
 wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia wanafunzi na walimu wa shule ya
 Msingi Mzimuni pamoja na wananchi wa eneo hili wakati wa sherehe za 
uzinduzi wa Maktaba ya shule hiyo tarehe 11.12.2013.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Mzimuni wakiimba nyimbo za 
mataifa ya Tanzania na Korea Kusini wakati wa sherehe za uzinduzi wa 
maktaba katika shule hiyo huko Magomeni katika wilaya ya Kinondoni 
tarehe 11.12.2013. 
 
 
Baadhi ya wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Msingi Mzimuni 
nao wakishiriki katika sherehe ya uzinduzi wa maktaba ya shule hiyo.
Walimu ya Shule ya Msingi ya Mzimuni nao waliungana na wanafunzi wa 
shule hiyo kusherehekea uzinduzi wa maktaba ya shule uliofanywa na Mama 
Salma Kikwete tarehe 11.12.2013
Mke
 wa Rais Mama Salma Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi 
rasmi wa maktaba ya Shule ya Msingi ya Mzimuni iliyoko Magomeni. Kushoto
 kwa Mama Salma ni Mheshimiwa Balozi Young-Shim Dho, Mwanzilishi wa Step
 Foundation na Balozi wa Mradi wa Utalii endelevu kwa ajili ya kuondoa 
umasikini wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani ambaye ndiye 
aliyefadhili maktaba hiyo. 
 
 
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwafuatilia kwa karibu baaqdhi ya 
wanafunzi wa shule ya Msingi Mzimuni waliokuwa wakitumia maktaba hiyo 
mara tu baaba ya kuizindua rasmi hapo tarehe 11.12.2013. 
 
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwafuatilia kwa karibu baaqdhi ya 
wanafunzi wa shule ya Msingi Mzimuni waliokuwa wakitumia maktaba hiyo 
mara tu baaba ya kuizindua rasmi hapo tarehe 11.12.2013.
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment