Pamoja
 na kudai mlima kilimanjaro upo Kenya,hapa  wanafunzi  kutoka nchini 
Kenya wakipanda mlima Kilimanjaro sanjari na  wanahabari Iringa kama  
walivyonaswa na kamera ya matukiodaima ,kama mlima yungekuwa Kenya si  
wangepanda mlima huu kupitia Kenya?
Vijana 
 waongoza  watalii katika mlima Kilimanjaro wakimsaidia kumshusha kutoka
 mlimani mmoja kati ya  watalii watano kutoka  nje ya Tanzanie 
aliyepoteza fahamu kwa  kupanda mlima huo kama walivyokutwa na kamera  
ya matukiodaima wakiwa eneo la  kituo cha kwanza  cha MANDARA 
 Baadhi ya  wanahabari kutoka mkoa  wa  Iringa wakiwa  ktk picha  kabla ya  kuanza  kupanda mlima Kilimanjaro
Katibu 
 wa  chama  cha  waandishi  wa  habari  mkoa  wa Iringa Bw. Francis 
Godwin ama mzee wa  matukiodaima wa pili kulia ,mwanahabari Abukarim 
Mshana  wa radio Qbra Ten Fm na mwandishi wa Mjengwa blog kushoto 
wakipongezana  na  watalii wa  nje  baada ya  kufanikiwa kuweka rekodi 
ya  kupandisha  mlima  huo kwa mwendo wa kukimbia na  kutumkia  saa 1 
.45 kutoka  getini hadi  kituo cha kwanza cha MANDARA badala ya masaa 
matatu na  kushuka kwa  dakika 45
No comments:
Post a Comment