Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpokea Malkia Maxima wa Uholanzi mara
 baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius
 Nyerere tarehe 11.12.2013. 
Malkia
 Maxima wa Uholanzi akipokea ua kutoka kwa kijana mara  baada ya 
kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere 
kuanza ziara ya siku 3 nchini Tanzania. 
 
 
Malkia
 Maxima akiongozana na mwenyeji wake Mke wa Rais Mama Salma Kikwete 
wakiangalia ngoma mbalimbali za utamaduni zilizokuwa zikicheza wakati wa
 mapokezi ya mgeni huyo Uwanja wa ndege tarehe 11.12.2013. 
Malkia
 Maxima akiongozana na mwenyeji wake Mke wa Rais Mama Salma Kikwete 
wakiangalia ngoma mbalimbali za utamaduni zilizokuwa zikicheza wakati wa
 mapokezi ya mgeni huyo Uwanja wa ndege tarehe 11.12.2013. 
Mke
 wa Rais Mama Salma Kikwete akifanya mazungumzo na Malkia Maxima wa 
Uholanzi mara baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa 
Mwalimu Julius Nyerere tarehe 11.12.2013. 
 
 
Mke
 wa Rais Mama Salma Kikwete akimkaribisha Ikulu, Malkia Maxima wa 
Uholanzi ili kuhudhuria dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na Rais Dkt. 
Jakaya Kikwete tarehe 11.12.2013.
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu, Malkia Maxima wa 
Uholanzi kwa ajili ya mazungumzo na dhifa ya kitaifa aliyomwandalia 
mgeni huyo tarehe 11.12.2013. 
 
 
Malkia
 Maxima wa Uholanzi akigonganisha glass/cheers na Rais Dkt. Jakaya 
Kikwete na Mama Salma wakati wa dhifa ya kitaifa ambayo walimwandalia 
mgeni huyo huko Ikulu tarehe 11.12.2013. 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment