Mbunge
 wa jimbo la Kongwa mkoani Dodoma, ambaye pia ni Naibu Spika wa Bunge, 
Job Ndugai, akihutubia mamia ya wakulima huko Kibaigwa mkoani humo 
Jumatano Desemba 11, 2013. Ndugai akiwakilisha wabunge kutoka majimbo ya
 mkoani humo yanayopakana na wilaya ya Kiteto, mkoani manyara, wamekemea
 vikali uamuzi wa Halmashauri ya wilaya hiyo, kuwafukuza wakulima kutoka
 nje ya wilaya ya Kiteto na kuwakumbatia Wafugaji  wa kimasai kuendelea 
na shughuli za uchungaji wa mifugo na kufananisha kitendo hicho ni sawa 
na ubaguzi. (Picha zote kwa hisani ya Bunge) 
 
Mbunge
 wa Kondoa Kusini Mkoani Dodoma aliyekuwa ameambatana na Naibu Spika 
Mhe. Juma Nkamia akiwahutubia wakulima hao katika Mji wa Kibaigwa na 
kuwahakikishia kuwa watafikisha kero zao kwa Mhe. Waziri Mkuu ili kupata
 ufumbuzi wa tatizo la kufukuzwa kwa wakulima hao katika maeneo yao huko
 Kiteto 
 
Mhe.
 Richard kapinye Diwani wa Kata ya Kibaigwa akieleza kwa hisia kali 
baadhi ya kero zinazowakabili wakulima hao kutokana na kunyanyaswa na 
watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto  kwa kuwafukuza katika 
maeneo yao na kufumbia macho vitendo vya wafugaji  kuwaua wakulima na 
hakuna hatua zinazochukuliwa 
 
Baadhi
 ya wakulima wakimweleza Mbunge wa jimbo la Kongwa mkoani Dodoma, ambaye
 pia ni Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai baadhi ya matukio ya 
kunyanyaswa na Watendaji wa Wilaya ya kiteto na vitendo vya wafugaji 
kuwafanyia vurugu mara kwa mara katika mashamba yao. 
 
 ya wakulima wa jimbo la Kongwa mkoani Dodoma,  wakinyanyua mikono juu 
wakati Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai akiwahutubia akipinga baadhi ya 
matukio ya kunyanyaswa na Watendaji wa Wilaya ya kiteto na vitendo vya 
wafugaji kuwafanyia vurugu mara kwa mara katika mashamba yao.

No comments:
Post a Comment