ASASI YA 
CULTURAL HARMONY AND REFORM FORUM (CHRF) INAYOSHUGHULIKA NA KUKUZA 
AMANI, UMOJA, UPENDO NA MAADILI MEMA MIONGONI MWA JAMII, INAKUALIKA 
KATIKA UZINDUZI WAKE SIKU YA JUMATATU TAREHE 16/12/2013 SAA 3.00 
ASUBUHI.KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE- AMBAPO MGENI RASMI NI RAISI WA AWAMU 
YA PILI MHE.ALI HASSAN MWINYI . WOTE MNAKARIBISHWA.

No comments:
Post a Comment