Katibu
 Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi 
funguo za Trekta kwa Mwenyekiti kwa vijana Tumsume Shemgogo lililotolewa
 na chama cha Mapunduzi CCM  kwa vijana wa mkoa wa Njombe katika 
makabidhiano yaloyofanyika kwenye Kambi ya vijana iliyopo kwenye kijiji 
cha Mlengu Kata ya Kiangala Tarafa ya Ikuo mkoani Njombe ambapo kambi 
hiyo ina eneo lenye ukubwa wa  hekta 300 za mashamba, Kinana aliahidi 
kutoa  trekta hilo wakati alipofanya ziara ya kikazi mkoani Njombe mwezi
 Agosti mwaka huu  baada ya kuelezwa jinsi vijana hao walivyojiunga 
pamoja katika kikundi na kuamua kushughulika na kilimo ili kujkwamua 
kiuchumi, Leo Abdulrahman Kinana alishiriki kulima kwa trekta kabla ya 
kukabidhi trekta hilo kama anavyoonekana katika baadhi ya picha akilima 
shambani  kwa trekta.  Kushoto anayeshuhudia makabidhiano hayo ni Nape 
Nnauye Katibu wa NEC  Siasa, Itikadi na Uenezi, Katika Ziara hiyo 
Kinana  pia ameongozana  na Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na 
Uhusiano wa Kamataifa na Mbunge wa kuteuliwa. 
 
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akilima shambani kabla ya kukabidhi trekta hilo. 
 
 
Dr.
 Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kamataifa na Mbunge
 wa kuteuliwa akikumbatiana kwa furaha na Mkuu wa Wilaya ya Makete 
Josephin Matiro mara baada ya kuwasili katika eneo la mapokezi huko 
Chimala Mbeya. 
 
 
Katibu
 Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kulia 
akizungumza na Kapten mstaafu Aseri Msangi mara baada ya kuagana na Mkuu
 wa mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro wa pili kutoka kushoto na viongozi  
wengine wakati alipowasili katika eneo la Mapokezi huko Chimala mkoani 
Mbeya leo 
 
 
Kinana akisalimiana na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Njombe. 
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe Ndg, Deo Sanga “Jah People” akizungumza wakati wa mapokezi hayo kulia ni Katibu
 Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na kutoka 
kushoto ni Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa 
Kimataifa na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi. 
 
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe Ndg, Deo Sanga “Jah People” akizungumza wakati wa mapokezi hayo kulia ni Katibu
 Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na kutoka 
kushoto ni Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa 
Kimataifa na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi. 
 
Katibu
 Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki 
kucheza ngoma ya kabila la Wawanji huko linalopatikana mkoani Njombe. 
 
 
Katibu
 Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na
 vijana wa Kambi ya Mlengu kabla ya kukabidhi trekta kwa vijana hao. 
 
 
Wananchi wa kijiji cha Mlengu wakimsikiliza Abdulrahman Kinana hayupo pichani wakati alipokuwa akizungmza nao. 
 
 
Katibu
 Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifurahia 
jambo wakati alipokagua darasa la ushonaji wa nguo katika chuo cha Veta 
mjini Makete Kushoto ni Dr. Asha Rose Migiro na katikati ni Mkurugenzi 
wa Veta Kanda ya Kusini  Monica Mbele, 
 
 
Katibu
 Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozwa na 
Mkurugenzi wa Veta Kanda ya Kusini Monica Mbele wakati alipokagua chua 
cha Veta mjini Makete leo kushoto ni Josephin Matiro Mkuu wa Wilaya ya 
Makete. 
 
 
Injini Asifiwe Swalo mwalimu wa chuo cha VETA Makete akitoa maelezo kwa Katibu
 Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati 
alipotembelea chuoni hapo na kukagua shughuli mbalimbali zinazoendeshwa 
na chuo hicho, kulia ni Mkurugenzi wa VETA Kanda ya Kusini Monica Mbele. 
Mwanafuzni wa fani ya ujenzi Abel Mbilinyi akimuelezea Katibu
 Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana jinsi 
wanavyofyatua matofari yaliyochanaganywa udongo wa kawaida na saruji 
kidogo na faida zake 
 
Mwanafuzni wa fani ya ujenzi Abel Mbilinyi akimuelezea Katibu
 Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana jinsi 
wanavyofyatua matofari yaliyochanaganywa udongo wa kawaida na saruji 
kidogo na faida zake 
 
Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapten Aseri Msangi akiuliza swali kwa mwanafunzi Tito Fungo uimara wa matofari hayo huku Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Dr. Asha Rose Migiro  wakisikiliza kwa makini. 
 
 
Nape Nnauye akijenga njia zinazopita chuni hapo kwa matofari madogo huku Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  na viongozi wengine wakiangalia. 
 
 
 

No comments:
Post a Comment