Mwenyekiti
 wa  Kampuni ya Madini ya TanzaniaOne(kulia )Balozi Ami Mpungwe  akitoa 
ufafanuzi kwa waandishi wa habari jana (leo) mjini Dar es salaam wakati 
wa halfa fupi ya kusaini hati za mkataba wa ubia  kuhusu uchimbaji  wa 
pamoja wa madini ya Tanzanite katika kitalu c kwenye eneo la Mererani 
kati ya Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na 
TanzaniaOne . Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa 
(STAMICO)Gray Mwakalukwa. 
 
Katibu
 Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi (kushoto)  akitoa 
ufafanuzi kwa waandishi wa habari jana (leo) mjini Dar es salaam wakati 
wa halfa fupi ya kusaini hati za mkataba wa ubia  kuhusu uchimbaji  wa 
pamoja wa madini ya Tanzanite katika kitalu c kwenye eneo la Mererani 
kati ya Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na 
TanzaniaOne . wengine ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa 
(STAMICO)Gray Mwakalukwa (katikati) na  Mwenyekiti wa  Kampuni ya Madini
 ya TanzaniaOne(kulia ) Balozi Ami Mpungwe. 
Mkurugenzi
 Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)Gray Mwakalukwa (kushoto) 
na  Mwenyekiti wa  Kampuni ya Madini ya TanzaniaOne(kulia ) Balozi Ami 
Mpungwe  wakibadilishana hati za mkataba wa ubia  kuhusu uchimbaji  wa 
pamoja wa madini ya Tanzanite katika kitalu c kwenye eneo la Mererani. 
Sherehe hizo zilifanyika jana mjini Dar es salaam.
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO_Dar es salaam
No comments:
Post a Comment