Msafara
 wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ukizungumza na wananchi 
baada ya kuwasili katika mji wa Igawa wakati ukielekea Ludewa wilayani 
Mbarali Kinana amepata nafasi ya kuongea na wananchi wa eneo hilo kama 
anavyoonekana Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na Mbunge wa jimbo la 
Mbozi Mashariki  Mh. Godfrey Zambi, Leo katibu mkuu huyo anafanya ziara 
katika wilaya ya Mbarali akikagua miradi ya maendeleo na kuongea na 
wananchi kuimarisha uhai wa chama cha Mapinduzi, Katika msafara huo 
Kinana ameongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC  Itikadi, Siasa na 
Uenezi na Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa 
Kimataifa  
 
 
Katibu
 Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe na viongozi wenzake 
kama ishara ya uzinduzi wa ofisi ya CCM kata ya Ihanga Rujewa wilayani 
Mbarali 
 
 
Jengo la ofisi ya CCM  kata Ihanga iliyozinduliwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana leo  
 
 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipiga picha na uongozi na wafadhili waliofanikisha ujenzi wa ofisi hiyo. 
 
 
Wajumbe wa halmashauri kuu ya wilaya wakiwa katika mkutano wa ndani na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana 
Mkurugenzi
 wa Halmashauri ya wilaya ya Mbarali Bw. Adam Mgoyi wa pili kutoka kulia
 na wataalam mbalimbali wa halmashauri hiyo wakiwa katika kikao hicho 
 
Mkurugenzi
 wa Halmashauri ya wilaya ya Mbarali Bw. Adam Mgoyi wa pili kutoka kulia
 na wataalam mbalimbali wa halmashauri hiyo wakiwa katika kikao hicho 
 
Baadhi ya wajumbe wakiwa katika mkutano huo. 
Mwenyekiti
 wa CCM wilaya ya Mbarali Bw. Mathayo  Mwangomo akimkaribisha katibu 
mkuuu pamoja na ujumbe wake katika mkutano  huo uliofanyika kwenye 
ukumbi wa Lutheran mjini Rujewa.
Mwenyekiti
 wa CCM wilaya ya Mbarali Bw. Mathayo  Mwangomo akimkaribisha katibu 
mkuuu pamoja na ujumbe wake katika mkutano  huo uliofanyika kwenye 
ukumbi wa Lutheran mjini Rujewa.
 
No comments:
Post a Comment