Askofu akisalimu waumini Msakofu Msataafu wa Dayosisi ya Mtandi Masasi, Oscar Mnung’u akisalimu waumini. 
 
 
Mhe. Lowassa akihutubia Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza kabla ya kuongoza harambee
 ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa
 Kuu la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi, mkoani Mtwara jana.
 Jumla y Sh103 milioni zilichangishwa kwenye harambee hiyo. Kushoto ni 
Askofu wa Dayosisi ya Newala, Patrick Mwanachiko na Askofu Mstaafu wa 
Dayosisi ya Masasi, Oscar Mnung’u. Na Mpigapicha Wetu 
 
 
Waziri
 Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza alipokuwa akiongoza harambee 
ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa 
Kuu la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi, mkoani Mtwara jana. Jumla y 
Sh103 milioni zilichangishwa kwenye harambee hiyo. Kushoto ni Askofu wa 
Dayosisi ya Newala, Patrick Mwanachiko na Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya 
Masasi, Oscar Mnung’u. Nampigapicha Wetu
  
 
 
Rose
 Mhando akiimba Mwimbaji wa nyimbo za injili, Rose Mhando akiimba katika
 Kanisa Kuu la Aglikana Dayosisi ya Mtandi Masasi wakati wa harambee ya 
kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika kanisani hapo 
juzi.

No comments:
Post a Comment