Mwenyekiti
 wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania Jaji Amir Manento 
akifafanua jambo kwa waandishi wahabari na baadhi ya wadau wa sekta hiyo
 (hawapo picha) ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi 
wa maadhimisho ya siku ya haki za binadamu Dunia inayotarajiwa kufanyika
 tarehe 10 Desemba 
Mwenyekiti
 wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania Jaji Amir Manento 
(mwenye koti jeusi) akielezea jambo huku baadhi ya waandishi wa habari 
na wadau wa sekta ya haki za binadamu wakimsikiliza kwa makini leo 
jijini Dar es Salaam.
 
Pichani
 wadau wa  Haki za binadamu wakifuatilia kwa makini taarifa ya 
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora( hayupo pichani) 
leo jijini Dar es Salaam.
 
 
 
Mwandishi
 wa habari wa ITV  Ufoo Saro akiuliza swali wakati wa mkutano  wa 
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na waandishi wa 
habari leo jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Frank Shija – Maelezo
No comments:
Post a Comment