Timu
 za kobili na uaminifu zikiwa tayari kwa ukaguzi kabla ya kuanza kwa 
mechi, na ukaguzi wa timu hizi ulifanywa na Mratibu wa mashindano haya 
ya Mpinga cup Mkaguzi msaidizi wa Polisi Agatha Mashayo.  
 
 
Mratibu
 wa mashindano haya ya Mpinga cup Mkaguzi msaidizi wa Polisi Agatha 
Mashayo akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Kobil ya 
Mbagala.  
 
 
Mratibu
 wa mashindano haya ya Mpinga cup Mkaguzi msaidizi wa Polisi Agatha 
Mashayo akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Uaminifu ya
 Mbagala kabla ya mechi kuanza.  
Mchezaji
 wa timu ya Uaminifu akiwa anamiliki mpira na kujaribu kuwatoka 
wachezaji wa timu ya Kobili katika mechi iliyochezwa tarehe 01/12/2013 
katika kiwanja cha Mpira za Zakhem Mbagala.  
 
 
Mratibu
 wa mashindano haya ya Mpinga cup Mkaguzi msaidizi wa Polisi Agatha 
Mashayo akikabidhi mpira kama zawadi kwa washindi wa mchezo kati ya timu
 ya kobil na Uaminifu wakati timu ya Kobili imeibuka na ushindi wa goli 5
 – 0.


No comments:
Post a Comment