Rais
 Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya
 Azania Bwana William Erio(wa pili kushoto) pamoja na Mkurugenzi 
Mtendaji wa Benki ya Azania Bwana Charles Singili(kushoto) wakikata 
utepe kuzindua rasmi Benki ya Azania Tawi la Lamadi jana.Kulia nia mkuu 
wa Mkoa wa Simiyu Pascal Mabiti(picha na Freddy Maro) 
 
 
Rais
 Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya
 Azania Bw.William Erio (kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki
 hiyo Bwana Charles Singil i(kulia) wakifunua  kitambaa katika jiwe la 
msingi kushiria kuzindua Benki ya Azania tawi la Lamadi, Mkoa mpya wa 
Simiyu  jana. 


No comments:
Post a Comment