Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib 
Bilal, akihutubia kwenye hafla ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Ushirikiano
 kati ya Tanzania na Sweden iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.  
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib 
Bilal, akihutubia kwenye  uzinduzi wa Kampeni ya Kuzuia Malaria 
inayojulikana kama ‘M-Zinduka’ inayoendeshwa kwa pamoja kati ya Kampuni 
ya Simu za Mkononi ya Vodacom,  Tanzania House of Talents na Malaria  no
 more   
(Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment