Mkuu
 wa Wilaya wa Arusha, Mhe. John Mogella akifungua rasmi kongamano la 
walimu kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa lililofanyika Jijini Arusha mwishoni 
mwa wiki. Kongamano hilo ambalo lililohudhuriwa na zaidi ya walimu 350 
lilidhaminiwa kwa ushirikiano wa  benki ya NMB pamoja na shirika la bima
 la African Life Asurance. Kutoka Kulia ni Meneja wa NMB kanda ya 
Kaskazini, Vicky Bishubo, Mkuu wa Wilaya Arumeru, Mhe. Nyiremba Munasa 
pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa NMB, Abdulmajid Nsekela. 
 
 
Meneja
 Mikopo Kitengo cha Wateja Binafsi wa NMB, Suzan Shuma akitoa mada 
 kuhusu bidhaa na huduma zinazotolewa na benki ya NMB katika kongamano 
la walimu lililofanyika Jijini Arusha. Kongamano hilo  lilidhaminiwa kwa
 ushirikiano wa  benki ya NMB pamoja na shirika la bima la African Life 
Asurance 
 
 
Meneja
 Kituo cha Biashara cha Arusha (NMB Business Center- Arusha), Jonathan 
Eliamisi(kulia) akimkaribisha Mkuu wa Wilaya Arumeru, Mhe. Nyiremba 
Munasa katika kongamano la walimu lililofanyika Jijini Arusha mwishoni 
mwa wiki. Kongamano hilo lilidhaminiwa kwa ushirikiano wa  benki
 ya NMB pamoja na shirika la bima la African Life Asurance. Wakishuhudia
 ni Meneja wa NMB kanda ya Kaskazini, Vicky Bishubo (pili kushoto) na 
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa NMB, Abdulmajid Nsekela.  
 
 
Baadhi ya Walimu wakifuatilia kwa makini kongamano hilo                       
 
 
Maafisa
 wa NMB, Wakuu wa Wilaya, Walimu Wakuu kutoka Longodo, Monduli, Arumeru 
na Manispaa ya Arusha wakiwa katika picha ya pamoja katika kongamano la 
walimu lililofanyika jijini Arusha. 

No comments:
Post a Comment