Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid 
(kushoto) na Mbunge wa Mkanyageni, Mohamed Habib Mnyaa,kabla ya kuanza 
kwa kikao cha Bunge mjini Dodoma Desemba  5, 2013. (Picha na Ofisi ya 
Waziri Mkuu) 
 
 
Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge kabla  ya kipinda cha 
maswali kjwa Waziri Mkuu, Bungeni mjini Dodoma  Desemba 5, 2013. (Picha 
na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
 
 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma Desemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na  Waziri wa Habari, Vijana, 
Utamaduni na Michezo, Dr. Fenella Mukangara kwenye viwanja vya Bunge 
mjini Dodoma Desemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya `Waziri Mkuu)
Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, 
Balozi Seif Iddi ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma, Desemba 5, 
2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



No comments:
Post a Comment