Mkurugenzi
 wa Masoko wa Kampuni ya LG Electronics wa Afrika Mashariki, Moses Marji
 (kushoto), Mtafiti katika Idara ya Vijidudu wa Chuo Kikuu cha Sayansi 
na Tiba cha Muhimbili (MUHAS), Dk Billy Ngasala na Meneja Masoko wa LG, 
Soyoung Lee, wakifungua pazia kuashiria uzinduzi wa viyoyozi vya 
kufukuza mbu viitwavyo ‘LG Mosquito Away’ jijini Dar es Salaam leo.  
 
Mtafiti
 katika Idara ya Vijidudu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha 
Muhimbili (MUHAS), Dk Billy Ngasala akihojiwa na waandishi wa habari 
muda mfupi baada ya uzinduzi wa viyoyozi vya kufukuza mbu viitwavyo LG 
Mosquito Away jijini Dar es Salaam leo.    
 
 
Baadhi
 ya watu waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa viyoyozi vya kufukuzia mbu 
vya LG Mosquito Away jijini Dar es Salaam leo.  Viyoyozi hivyo vinatumia
 mawimbi ya kielektroniki kufukuza mbu waenezao ugonjwa wa malaria. 
No comments:
Post a Comment