Shabiki aliyevaa kihasara akinengua jukwaani.
Khadija Yusuf akiimba.
Mzee Yusuf akinengua na mpiga gitaa wake.
Shabiki akijimwaya.
 Kijana aliyetuhumiwa kukwapua pochi akiwa chini ya ulinzi na pochi alilokwapua.
UKUMBI
 wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar es 
Salaam, jana usiku ulifurika mashabiki katika onyesho la bendi ya 
taarabu ya Jahazi inayoongozwa na staa Mzee Yusuf.






No comments:
Post a Comment