Waziri
 wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Emmanuel John Nchimbi(suti nyeusi) 
akifurahia jambo na Mmoja wa Wafungwa( kushoto) wa Gereza Kuu Butimba, 
Mwanza ambaye ni fundi Ushonaji wa nguo za aina mbalimbali mara baada ya
 uzinduzi  rasmi wa Kiwanda cha Ushonaji cha Gereza Kuu Butimba. Kiwanda
 hicho kitakuwa kinatoa huduma ya Ushonaji wa Sare za Maafisa, Askari, 
Watumishi raia, Wafungwa pamoja na nguo za aina mbalimbali za Taasisi za
 Serikali na Watu Binafsi katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa( kulia) ni 
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja. 
 
 
Waziri
 wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi( suti 
nyeusi) akiangalia nguo za aina mbalimbali kama ambavyo zinaoonekana 
katika picha ambazo zimeshonwa na Wafungwa katika Kiwanda cha Gereza Kuu
 Butimba, Mwanza ambapo Kiwanda hicho kimezinduliwa rasmi leo Disemba 
02, 2013(kushoto kwa Dkt. Nchimbi) ni Kamishna Jenerali wa Magereza, 
John Casmir Minja. M
 
 
Waziri
 wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi(Mb) akikata 
utepe kuashilia uzinduzi rasmi wa Magereza “Duty Free Shop” iliyopo 
Gereza Kuu Butimba, Mwanza ambayo itahudumia Maafisa na Askari wa Jeshi 
la Magereza wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa leo Disemba 02, 2013 katika 
Viwanja vya Gereza Kuu Butimba( kulia) ni Rais wa Transit Military Shop 
Limited, Bw. Sadrudin Virji( nyuma kulia) ni Kamishna Jenerali wa 
Magereza, John Casmir Minja.

No comments:
Post a Comment