Ajali
 mbaya imetokea mda huu eneo la mto wami na kusababisha Foleni kubwa 
sana kwa magari na mabasi yanayotumia njia hiyo,Chanzo cha ajali hiyo inadaiwa ni 
kufeli breki kwa malori hayo yakiwa yanateremka kwenye mlima huo.Polisi 
wanaendelea na jitihada za za kuyatoa ili njia ipatikane kwa ukubwa 
zaidi ili kuruhusu upitaji mzuri wa magari.




No comments:
Post a Comment