Waziri
 Mkuu Mhe. Mizengo  Pinda akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa  Mtendaji
 Mkuu wa TTCL Dkt. Kamugisha Kazaura kuhusu  baadhi ya mitambo iliyopo 
nje ya jengo la Simu (Telephone House). Wa pili kutoka  kushoto ni 
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Makame Mbarawa.  
 
 
Afisa
 Mtendaji wa TTCL Dkt. Kamugisha Kazaura akitoa taarifa fupi kuhusu 
 utendaji wa TTCL na jinsi kamuni hiyo  ilivyojidhatiti katika kujenga, 
kusimamia na kuendesha mkongo wa Taifa wa Mawasilino. 
 
 
Afisa
 Mtendaji wa TTCL Dkt. Kamugisha Kazaura akimuonesha waziri mkuu mkongo 
halisi (fibre) wakati wa ziara yake katika kituo maalum cha uangalizi wa
 mkongo wa Taifa (Network Observation Centre).  
 
 
Waziri
 Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akipata maelezo namna mitambo ya mkongo wa 
taifa inavyofanya kazi  kutoka kwa Mhandisi Adam Mwaipungu wakati wa 
ziara yake katika ofisi hizo.  
 
 
Waziri
 wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Makame Mbarawa( 
Kushoto) pamoja na msafara wa  Waziri Mkuu wakielekea katika kituo 
maalumu cha uangalizi wa mkongo wa Taifa wa Mawasiliano. 

No comments:
Post a Comment