Rais
 Francois Hollande wa Ufaransa akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho 
Kikwete jijini Paris kwenye mkutano unaohimiza kukuza ushirikiano wa 
kiuchumi kati ya Ufaransa na Afrika.Akizungumza katika mkutano huo Rais 
Kikwete alisema kuwa mbali na kuwa bado bara la Afrika linahitaji  misaada ya uchumi nchi zilizoendelea lazima ziwekeze mitaji katika nchi za kiafrika.
 
 
Rais
 Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Francois Hollande wa Ufaransa,Rais 
Allasane Ouatarra wa Ivory Coast na Rais Mac Sall wav Senegal wakiwa 
katika mkutano wa ushirikiano wa kiuchumi kati ya Afrika na nchi za 
kiafrika(picha na Freddy Maro)


No comments:
Post a Comment