Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein,(katikati) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa
 na Idara Maalum za SMZ,  katika kikao cha kujadili utekelezaji wa 
Mpango kazi wa Ofisi hiyo,wa mwaka wa fedha 2012-2013 na robo ya kwanza 
ya mwaka wa fedha 2013-2014,katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini 
Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
 
 
 
Baadhi
 ya Viongozi mbali mbali wa Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Idara 
Maalum za SMZ,wakiwa katika kikao cha kujadili utekelezaji wa Mpango 
kazi wa Ofisi  hiyo,wa mwaka wa fedha 2012-2013 na robo ya kwanza ya 
mwaka wa fedha 2013-2014,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na 
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) 
katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman
 Ikulu.]

No comments:
Post a Comment