Naibu
 Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu (kulia), 
akiteta jambo na Mwakilishi wa Bongo Movie, Devota Mbaga, wakati wa 
semina hiyo. 
 
 
Naibu
 Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu, 
akichangia mada ya ‘Ukimwi na Vijana’, mara baada ya kuifungua semina ya
 wasanii katika kuadhimisha Siku ya Ukimwi duniani, iliyoandaliwa na 
Taasisi ya Benjamin William Mkapa HIV/AIDS Foundation kwa uratibu wa 
Kampuni ya Motage, Dar es Salaam jana. Wa pili  kulia ni Ofisa Mtendaji 
Mkuu wa taasisi hiyo, Dk. Ellen Mkondya, Mwakilishi wa Bongo Movie, 
Devota Mbaga (kulia)  na msanii wa maigizo, Aisha Amani ‘Walonge’.
Naibu
 Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,  Ummy Mwalimu (wa tatu 
kulia) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa  Taasisi ya Benjamin William Mkapa, Dk.
 Ellen Mkondya (wa  pili kulia) pamoja na wasanii, Salama salmin 
‘Sandra’  (kushoto), Aisha Amani ‘Walonge’ (wa pili kushoto) na  
Mwakilishi wa Bongo Movie, Devota Mbaga, wakisikiliza  mada juu ya 
Ukimwi na Vijana, iliyokuwa ikiwasilishwa na mtaalamu huyo.
Naibu
 Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,  Ummy Mwalimu na Ofisa 
Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya  Benjamin William Mkapa, Dk. Ellen Mkondya, 
wakiwa katika  picha ya pamoja na baadhi ya wasanii mbalimbali wakati 
wa  ufunguzi wa semina hiyo.



No comments:
Post a Comment