TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, February 24, 2015

CHUO CHA BIASHARA DAR ES SALAAM (CBE) CHATOA MSAADA WA MASHUKA KWA AJILI YA WODI YA AKINAMAMA NA WATOTO KATIKA HOSPITALI KUU YA MANZIMMOJA

Mkuu wa Chuo cha Biashara cha Dar es Salaam Prof. Emanuel Amani Mjema akitoa maelezo kuhusu maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo  katika hafla ya kukabidhi mashuka katika Hospitali kuu ya Mnazimmoja Zanzibar, kulia ni  Naibu  Mkuu wa Chuo hicho anaeshughulikia Taaluma, Utafiti na Ushauri Dkt. Esther R. Mbise. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

Mkuu wa Chuo cha CBE  Prof. Emanuel Amani Mjema akimkabidhi Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Maalim Abdalla Mwinyi msaada wa mashuka uliotolewa na chuo hicho kwa ajili ya Hospitali Kuu ya Mnazimmoja katika hafla iliyofanyika Hospitali Kuu ya Mnazimmoja mjini Zanzibar. cb4Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis katika picha ya pamoja na watendaji wakuu wa Chuo cha CBE  na baadhi ya maafisa wa Hospitali  ya Mnazimmoja . (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar). cb5 
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Maalim Abdalla Mwinyi Khamis akiagana na Mkuu wa Chuo cha CBE baada ya kukabidhiwa mashuka kwa ajili ya wodi ya wanawake na watoto  Hospitali Kuu ya Mnazimmoja ikiwa ni miongoni mwa maadhimisho ya miaka 50 ya chuo hicho. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

No comments:

Post a Comment