TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, February 25, 2015

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MHE. GEORGE SIMBACHAWENE AKABIDHIWA RIPOTI YA KUMTAFUTA MSHINDI WA TUZO YA RAIS YA HUDUMA ZA JAMII NA UWEZESHAJI KWA MAKAMPUNI YA UZIDUAJI NCHINI

si1Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava (kulia) akimkaribisha Waziri wa Nishati na Madini Mhe. George Simbachawene (kushoto) ili aweze kuzungumza na timu ya majaji na sekretarieti iliyofanya kazi ya kumtafuta mshindi wa Tuzo ya Rais ya Utoaji wa Huduma za Jamii na Uwezeshaji kwa makampuni ya uziduaji yaani madini na gesi. Timu hiyo iliendesha zoezi hilo mapema Septemba, mwaka jana.
si3Waziri wa Nishati na Madini Mhe. George Simbachawene akielezea umuhimu wa kuhamasisha makampuni mengi zaidi kujitokeza katika kuwania   tuzo ya Rais katika utoaji wa huduma kwa jamii na uwezeshaji kwa makampuni ya gesi, mafuta na madini ili wananchi wafaidike zaidi na mchango katika sekta za nishati, madini na gesi.
si4Waziri wa Nishati na Madini Mhe. George Simbachawene (aliyekaa mbele) akizungumza na timu ya majaji na sekretarieti iliyofanya kazi ya kumtafuta mshindi wa Tuzo ya Rais ya Utoaji wa Huduma za Jamii na Uwezeshaji kwa makampuni ya uziduaji yaani madini na gesi.

No comments:

Post a Comment