TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, February 25, 2015

JAMHURI KIHWELO (JULIO) AJIUNGA NA COASTAL UNION YA TANGA

jul1Kocha Msaidizi wa Coastal Union,Jamhuri Kiwelu “Julio”kulia akizungumza na wachezaji mazoezini jana mara baada ya kuwasilia mkoani Tanga kuifundisha timu hiyo kushoto ni Kocha Mkuu James Nandwa ,Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Coastal Union,Albert Peter,Katibu Mkuu Coastal Union,Kassim El Siagi na Meneja wa Coastal Union Akida Machai. jul2Kocha Msaidizi wa Coastal Union,Jamhuri
Kiwelu “Julio”kulia akisisitiza jambo mazoezini jana mara baada ya
kuwasilia mkoani Tanga kuifundisha timu hiyo kushoto ni Kocha Mkuu
James Nandwa ,Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Coastal Union,Albert
Peter,Katibu Mkuu Coastal Union,Kassim El Siagi na Meneja wa Coastal
Union Akida Machai.

jul3Kocha Msaidizi wa Coastal Union ,Jamhuri
Kiwelu “Julio”akizungumza na viongozi wa Coastal Union mara baada ya
kuwasili mazoezini jana ,Picha kwa Hisani ya Coastal Unio
jul4Kocha Msaidizi wa Coastal Union ,Jamhuri
Kiwelu “Julio”akizungumza na viongozi wa Coastal Union mara baada ya kuwasili mazoezini jana ,Picha kwa Hisani ya Coastal Unio

No comments:

Post a Comment