TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, February 24, 2015

Kampuni ya Tigo Kuwawezesha Walimu Manispaa ya Morogoro Kupata Mawasiliano Bure

Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania Cecile Tiano akimkabidhi simu aina ya Smartphone Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Bungo Manispaa ya Morogoro Roman Luoga,  ikiwa ni mpango wa kampuni ya Tigo kuwawezesha walimu kuweza kuwasiliana wenyewe kwa wenyewe bila gharama yoyote. Jumla ya simu 50 za Smartphone zilitolewa kwa majaribio kwa walimu shule hiyo kwa kutekeleza mpango huo, Kushoto anayeshuhudia ni meneja wa Tigo Kanda ya Mashariki Goodluck Charles.
KAM2.
Baadhi ya walimu wa shule ya msingi Bungo Manispaa ya Morogoro wakipozi kwenye picha ya pamoja na  Kaimu Meneja mkuu wa Tigo Tanzania Cecile Tiano baada ya kukabidhiwa  simu aina ya Smartphone ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa kampuni ya Tigo kuwezesha walimu kuweza kuwasiliana wenyewe bila gharama yoyote na kupata intaneti ya bure. Jumla ya simu 50 za Smartphone zilitolewa kwa majaribio kwa walimu wa shule hiyo kutekeleza mpango huo.
KAM3 
Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania Cecile Tiano akimkabidhi simu aina ya Smartphone Mwalimu wa shule ya Msingi Bungo Manispaa ya Morogoro Mkoba Mkude,  ikiwa ni mpango wa kampuni ya Tigo kuwawezesha walimu kuweza kuwasiliana wenyewe kwa wenyewe bila gharama yoyote. Jumla ya simu 50 za Smartphone zilitolewa kwa majaribio kwa walimu shule hiyo kwa kutekeleza mpango huo. KAM4 
Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania Cecile Tiano akimkabidhi simu aina ya Smartphone Mwalimu  wa shule ya Msingi Bungo Manispaa ya Morogoro Agness Materu, ikiwa ni mpango wa kampuni ya Tigo kuwawezesha walimu kuweza kuwasiliana wenyewe kwa wenyewe bila gharama yoyote. Jumla ya simu 50 za Smartphone zilitolewa kwa majaribio kwa walimu shule hiyo kwa kutekeleza mpango huo, KAM5 
Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania Cecile Tiano akimkabidhi simu aina ya Smartphone Mwalimu wa shule ya Msingi Bungo Manispaa ya Morogoro Annastella Boniface,  ikiwa ni mpango wa kampuni ya Tigo kuwawezesha walimu kuweza kuwasiliana wenyewe kwa wenyewe bila gharama yoyote. Jumla ya simu 50 za Smartphone zilitolewa kwa majaribio kwa walimu shule hiyo kwa kutekeleza mpango huo.

No comments:

Post a Comment