BMT KUANZISHA SEMINA YA WADHAMINI. 
Kaimu
 Katibu Mkuu wa Baraza la MichezoTaifa (BMT) Bw. Mohamed Kiganja 
akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani akielezea Semina ya 
masoko na wadhamini wa Michezo Nchini katika mkutano uliofanyika leo 
jijini Dar es salaam kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya kiserikali 
ya Pro- Event Masters Ltd Bw. Henry Tandau. 
Mkurugenzi
 wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Pro- Event Masters Ltd Bw. Henry 
Tandau akiongea na waandishi wahabari hawapo pichani akielezea Semina ya
 masoko na wadhamini wa Michezo Nchini katika mkutano uliofanyika leo 
jijini  Dar es salaam kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la 
MichezoTaifa (BMT) Bw. Mohamed Kiganja.PICHA ZOTE NA ALLY DAUD-MAELEZO 
 
 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment