Katibu
 Mkuu wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na 
Watoto,Bw.Mpoki Ulisubisye akizungumza na waandishi wa habari juu ya 
mpango kazi wa Taifa wa dawa,vifaa tiba, na vitendanishi hasa katika 
ngazi ya Halmashauri kwa lengo la kudhibiti wizi wa dawa pamoja na 
uwajibikaji,mkutano huo umefanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mfamasia
 wa Serikali, Bw. Henry Irunde akifafanua jambo kwa waAndishi wa habari 
jinsi ya kuwezesha udhibiti wa wizi wa dawa   pamoja na uwajibikaji, leo
 jijini Dar  es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya jamii).
Wizara
 ya Afya ,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto imezindua  mpango 
mkakati  wa Taifa wa dawa,vifaa tiba na vitendanishi hasa katika ngazi 
ya Halmashauri kwa lengo la kuboresha huduma ya afya katika Halmashauri 
hizo.


No comments:
Post a Comment