Waziri
 wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akiongea na 
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya mauaji ya halaiki ya
 Rwanda (ICTR) Jaji Hassan B. Jallow anayemaliza muda wake. Jaji Jallow 
alifika ofisini kwa Mhe. Mwakyembe leo (17/3/2016) kwa ajili ya kumuaga 
rasmi.
Mwendesha
 Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya halaiki ya Rwanda 
(ICTR) Jaji Hassan B. Jallow (kulia) anayemaliza muda wake akifurahia 
jambo na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe 
alipomtembelea leo (17/3/2016)ofisini kwake kwa ajili ya kumuaga rasmi 
baada ya kumaliza muda wake wa kazi kwenye Mahakama hiyo. 
 
No comments:
Post a Comment